Habari and Vyombo vya Habari: Janga la 4615

Taarifa ya Habari na Ithibati

14

NEW YORK – Watu wa New York wanaporekebisha na kujenga upya nyumba zao, FEMA imeshirikiana na duka la Lowe la kuboresha nyumba huko Queens ili kutoa maelezo na vidokezo bila malipo kuhusu jinsi ya kufanya nyumba zilizoharibiwa na majanga ya asili kuwa imara na salama zaidi.
illustration of page of paper Taarifa ya Habari |
Kituo cha Kutoa Misaada ya Mikasa cha Kaunti ya kitafungwa kabisa Jumamosi saa kumi na mbili jioni (6 p.m.) japo wakazi walioathiriwa na Kimbunga Ida wanaweza kupata usaidizi wa maombi yao ufadhili wa mikasa. Usaidizi waweza kupatikana kwa njia ya simu, na mtandaoni.
illustration of page of paper Karatasi za Ukweli |
Kituo cha muda cha kutoa misaada ya mikasa cha FEMA kitakuwa katika Kaunti ya Bronx kati ya Oktoba 29 na Novemba 1 kuwasaidia waathiriwa wa Kimbunga Ida kutuma maombi ya ufadhili kutoka kwa FEMA na kujibiwa maswali yao.
illustration of page of paper Karatasi za Ukweli |
FEMA imeongeza Kaunti ya Dutchess kwenye tangazo la serikali la janga la Septemba 5 kwa sababu ya Kimbunga Ida, na hivyo kufanya idadi ya kaunti ambazo wakazi wake sasa wanastahili kutuma maombi ya usaidizi ya janga ya FEMA kufika tisa.
illustration of page of paper Taarifa ya Habari |
Shirika la FEMA linatoa huduma za tafsiri na ukalimani kwa ili kufikia na kuwasiliana na waathiriwa wa mikasa wasiojua au wanaojua Kiingerza kidogo. Shirika la FEMA vilevile lina wafanyakazi na teknolojia za kuwasaidia viziwi, walio na ugumu wa kusikia, au wasioona vizuri.
illustration of page of paper Taarifa ya Habari |

PDFs, Michoro na Vyombo tofauti vya Habari

Tazama Zana za Vyombo Tofauti vya Habari kwa maudhui ya mitandao ya kijamii na video ili kusaidia kuwasiliana kuhusu msaada wa jumla wa majanga.

Hakuna faili ambazo zimetambulishwa na janga hili.