Habari and Vyombo vya Habari: Janga la 4615

Taarifa ya Habari na Ithibati

14

Huku wakazi wa New York wakiendelea kukarabati makao yao, FEMA wamejiunga na maduka ya Lowe Kisiwani Staten kutoa taarifa za bure na ushauri wa jinsi ya kuhakikisha kwamba nyumba zilizoharibiwa na mikasa asilia zinabaki kuwa thabiti na salama.
illustration of page of paper Taarifa ya Habari |
Watu wanaopokea Malipo ya Uzeeni au msaada wowote wa serikali wasihofu kwamba Ufadhili wa mikasa wa FEMA huenda ukaathiri mafao yao.
illustration of page of paper Taarifa ya Habari |
Je, wewe ni mwenye nyumba uliyepokea msaada wa FEMA kwa ajili ya matengenezo ya nyumba yako? Je, baadaye uligundua kwamba tanuri lako liliharibiwa au kubomolewa na Kimbunga Ida?
illustration of page of paper Karatasi za Ukweli |
Wakaguzi wa FEMA hurekodi uharibifu uliosababishwa na mkasa. Hawatoi uamuzi ikiwa unastahili kupata msaada wa FEMA au kiasi cha pesa au hata aina ya msaada utakaotolewa na FEMA. Ni vizuri kuwajibu ikiwa watawasiliana nawe.
illustration of page of paper Karatasi za Ukweli |
Ulituma maombi ya msaada wa mikasa wa FEMA baada ya Kimbunga Ida kulikumba Jiji la New York, na ukapokea barua. Huna uhakika barua hiyo inasema nini ila unajua haina habari nzuri.
illustration of page of paper Taarifa ya Habari |

PDFs, Michoro na Vyombo tofauti vya Habari

Tazama Zana za Vyombo Tofauti vya Habari kwa maudhui ya mitandao ya kijamii na video ili kusaidia kuwasiliana kuhusu msaada wa jumla wa majanga.

Hakuna faili ambazo zimetambulishwa na janga hili.