FEMA inatoa maelezo bila malipo kuhusu jinsi ya kufanya nyumba yako iwe imara na salama zaidi - iwe iliharibiwa na mafuriko msimu huu wa kiangazi au la. Kuwekeza sasa kunaweza kusaidia kuzuia au kupunguza uharibifu mkubwa wa mafuriko siku zijazo.
Unaweza kuzungumza moja kwa moja na wataalamu wa FEMA katika maduka ya kuboresha nyumba yaliyo karibu.
Wanaojifanyia marekebisho wenyewe na wataalamu wanaweza kupata majibu ya maswali na kujadili:
- Mbinu zilizothibitishwa za kuzuia uharibifu kutokana na majanga wakati ujao
- Mbinu za kujenga upya nyumba
- Vidokezo vya kupunguza hatari yako ya majanga - iwe unamiliki au unakodisha nyumba yako
Eneo:
The Home Depot
10930 New Halls Ferry Rd
Saint Louis, MO 63136
The Home Depot
3891 Mexico Rd
Saint Charles, MO 63303
The Home Depot
1525 State Hwy K
O’Fallon, MO 63366
The Home Depot
8901 Page Avenue
Overland, MO 63114
Tarehe: Jumatatu, Oktoba 3, hadi Jumamosi, Oktoba 15
Masaa: Jumatatu—Jumamosi, saa tatu asubuhi (9 a.m.)—saa moja jioni (7 p.m.) na Jumapili saa nne asubuhi (10 a.m.)—saa tisa alasiri (3 p.m.)
Kwa masasisho, tufuate kwenye Twitter @MOSEMA na @FEMARegion7.
Pata habari mpya kwa Recovery.MO.gov na FEMA.gov/disaster/4665.
Usaidizi wa majanga unapatikana bila kuzingatia rangi, dini, utaifa, jinsia, umri, ulemavu, ujuzi wa Kiingereza au hali ya kiuchumi.