VITUO VYA MSAADA WA MAJANGA VITAFUNGWA ILI KUADHIMISHA COLUMBUS/INDIGENOUS PEOPLES’ DAY. [https://www.fema.gov/sw/press-release/20221005/disaster-recovery-centers-close-observance-columbusindigenous-peoples-day] Release Date: Oktoba 5, 2022 Vituo vyote vya Msaada wa Majanga VITAFUNGWA JUMATATU, OKTOBA 10 ILI KUADHIMISHA COLUMBUS/INDIGENOUS PEOPLES’ DAY na kufunguliwa tena Jumanne, Oktoba 11 saa mbili asubuhi. Kwa masaa na maeneo ya kituo cha msaada,tembelea https://egateway.fema.gov/ESF6/DRCLocator Hakuna miadi inahitajika kutembelea Kituo cha Msaada wa Majanga. Wanaokuja bila miadi wanakaribishwa. Watu walioathiriwa moja kwa moja na mafuriko katika Jiji la St. Louis, Kaunti ya St. Louis na Kaunti ya St. Charles wanaweza kutembelea kituo chochote cha msaada. Kwa masasisho ya majanga kutoka FEMA, fuata @FEMAregion7 [https://twitter.com/femaregion7] kwenye Twitter, na uwashe arifa za simu. Tembelea tovuti ya majanga kwa fema.gov/disaster/4665 [https://www.fema.gov/disaster/4665]. Kwa masasisho ya majanga kutoka kwa Wakala wa Usimamizi wa Dharura wa Jimbo la Missouri (SEMA), fuata @MOSEMA_ [https://twitter.com/MOSEMA_]kwenye Twitter, na uwashe arifa za simu. Recovery.MO.gov [https://recovery.mo.gov] inaendelea kuwa mahali pa kwenda kwa watu wa Missouri ili kupata taarifa na rasilimali zinazohusiana na maafa kwa urahisi.